SERIKALI ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt John Magufuli imetoa zaidi ya shilingi bilioni 37 kwa ajili ya upanuzi na ukarabati wa uwanja wa ndege wa Songea ili kuwezesha ndege kubwa kutua.
TAZAMA yaliyojiri wakati Rais Dkt John Magufuli akizindua ghala la mitambo ya gesi
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa