RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli ambaye alikuwa mgeni rasmi katika siku ya maadhimisho ya sikukuu ya wafanyakazi duniani Mei Mosi, pamoja na mambo mengine anaeleza sababu za kutopandisha mishahara watumishi wa umma.
TAZAMA namna ya kupata leseni za biashara katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma
Mwenyekiri wa Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa TALGWU Mkoa wa Ruvuma ameipongeza serikali kwa kuruhusu kupandisha vyeo na kubadili kada watumishi wa umma.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa