Okamoto Ryuta ni Raia toka nchini Japan ambaye ameleta Teknolojia rahisi ya kufua nguo kwa sekunde 30.Teknolojia hiyo ilianzia ULAYA ikaenda Japan na sasa Songea Tanzania
MTAZAME Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pendo Ndumbaro akielezea adhabu ambazo atapewa atakayekutwa na mifuko ya plastiki
Mpango mkakati wa kutekeleza agizo la marufuku ya kutumia mifuko ya plastiki katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea wilayani Songea mkoani Ruvuma.Mtazame Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea Pendo Ndumbaro
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa