Mwenyekiri wa Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa TALGWU Mkoa wa Ruvuma ameipongeza serikali kwa kuruhusu kupandisha vyeo na kubadili kada watumishi wa umma.
MKUU wa TAKUKURU mkoani Ruvuma Yustina Chagaka ametoa rai kwa watanzania kutoa taarifa za vitendo vya rushwa kwenye ofisi za TAKUKURU Wilaya na Mkoa ili kukomesha vitendo hivyo kwa watanzania
Serikali imeanza mchakato wa kutunga kanuni za kukabiliana na watakaokiuka katazo la utengenezaji, uuzaji, uingizaji na uhifadhi wa mifuko ya plastiki ambayo Mei 31 ndio mwisho wa matumizi ya mifuko hiyo.Waziri wa Mazingira, January Makamba ametoa ufafanuzi na onyo kwa waliopanga kukiuka katazo hilo na kusema wadau wa biashara wanalifahamu katazo hilo kwa muda mrefu na hawajastukizwa.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa