Mkuu wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma Sophia Kizigo ameitaja njia ambayo inaweza kuwasaidia wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari kutopata mimba za utotoni.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewaagiza maafisa Elimu Msingi na Sekondari kurekebisha ikama ya walimu kwa kuwahamisha walimu maeneo ya mjini ambako wamezidi na kupelekwa vijijini ambako kuna upungufu mkubwa wa walimu.
Halmashauri ya Manispaa ya Songea imepitiisha bajeti ya shilingi bilioni 41 inayotarajia kutumika katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2019/2020
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa