JIWE la Bismark ni moja ya vivutio adimu vya utalii katika ziwa Viktoria.Fuatilia makala haya kuelewa vivutio adimu vilivyopo katika kivutio hicho.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme ameagiza ukusanyaji mapato katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea kufkia asilimia 81 katika mwaka huu wa fedha na watendaji wote wanaohujumu mapato kuchukuliwa hatua za kisheria ikiwa ni pamoja na kusimamishwa kazi.
VIUMBE adimu waliopo katika ziwa Nyasa mkoani Ruvuma wapo katika hatari ya kutoweka ,miongoni mwa viumbe hivyo ni fisi maji waliopo ndani ya ziwa Nyasa
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa