CHAMA cha Wafanyakazi wa Serikali ya Mitaa(TALGHWU) mkoani Ruvuma kimezindua vitambulisho vyake vipya kwa wanachama wake.Katika uzunduzi huo jumla ya vitambulisho 460 vimegawiwa kwa wanachama wake wa Manispaa ya Songea
JAKAYA Group ni kikundi cha ngoma ya lizombe cha Lizaboni Manispaa ya Songea ambacho kimeongoza katika Tanzania katika mashindano ya ngoma za asili zilizofanyika Tukuyu Mbeya na kushirikisha vikundi 175
BUSTANI ya Manispaa ya Songea imeanza kuwanufaisha wakazi wa Manispaa ya Songea kwa kupata huduma mbalimbali zinazotolewa ikiwemo chakula,mapumziko na kuburudika
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa