Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli ametoa maagizo kwa wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha kuwa wajasirimali wadogo waliopewa vitambulisho hawapati usumbufu wowote wa kudai kulipa kodi
Ukarabati wa barabara zenye urefu wa kilometa 10.3 kwa zaidi ya bilioni 10 unatekelezwa Kupitia miradi ya ULGSP chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia Manispaa ya Songea inatekeleza miradi mitano kwa gharama ya shilingi bilioni 27 ambapo hadi sasa zaidi ya shilingi bilioni 18 zimetumika katika utekelezaji wa miradi hiyo.
TATIZO la maji katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea litabakia kuwa historia baada ya serikali ya kutoa zaidi ya Dola za Marekani milioni 50 kutekeleza mradi wa maji katika kata zote 21 za manispaa ya Songea.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa