Kamishina wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Ruvuma kwa kushirikiana na Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea wanawatangazia Wananchi wote wenye malalamiko au migogoro ya ardhi, kuwa wanatakiwa kufika siku ya ijumaa tarehe 23.07.2021 kuanzia saa 4.00 asubuhi katika ukumbi wa Manispaa ya Songea kwa ajili ya kuwasilisha malalamiko au migogoro yao.
Wananchi wote wenye malalamiko au migogoro ya ardhi mnakaribishwa ili muweze kusilikilizwa.
Limetolewa kwa ushirikiano wa Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Ruvuma na Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea.
20.07.2021
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa