• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

POLISI Ruvuma yaua majambazi watano waliokuwa na silaha ya kivita

Tarehe ya kuwekwa: May 28th, 2019

JESHI la Polisi mkoani Ruvuma limefanikiwa kuua majambazi watano waliokuwa na siraha ya kivita yenye uwezo wa kupiga risasi 720 kwa dakika moja.

Akizungumza na wanahabari ofisini kwake mjini Songea Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Ruvuma ACP Simon Maigwa amesema tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Mei 26 katika Mtaa wa Lusaka,Kata ya Bethelehem Halmashauri ya Mji wa Mbinga.

“Majambazi hao  waliuawa katika mapambano na Askari Polisi baada ya kugundua wanafuatiliwa’’,alisema.

Kamanda Maigwa amesema taarifa za awali zilionesha kuwa majambazi hao walikuwa wanaelekea eneo la machimbo ya dhahabu mpakani mwa Tanzania na Msumbiji kwa lengo la kufanya uharifu.

Amesema katika eneo hilo la tukio,kulipatikana  silaha ya kivita aina ya medium machine Gun (MMG) ikiwa na mkanda wenye risasi 16 na bastola moja aina ya Glock ambazo zilikuwa zimebebwa na majambazi hao.

“Siraha hiyo yenye uwezo wa kupiga risasi 720 kwa dakika moja ni silaha hatari ya kivita iliyotengenezwa nchini Urusi mwaka 1969’’,alisisitiza Kamanda Maigwa.

Amesema jeshi la Polisi litaendelea kufanya misako endelevu kuhakikisha kuwa wanakamatwa wale wote wanaovunja sheria za nchi na kuwafikisha katika vyombo vya sheria.

Imeandikwa na Albano Midelo

Afisa Habari Serikalini

Mei 27,2019.

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa