HALMASHAURI ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma inatekeleza mradi wa hospitali ya wilaya katika eneo la Mpitimbi ambayo katika awamu ya kwanza inagharimu shilingi bilioni 1.5.Mradi huo ambao hivi sasa umefikia asilimia 85 unajumuisha majengo saba ambayo ni jengo la maabara,kufulia,stoo ya madwa,mama na mtoto,utawala,mionzi na upasuaji.Mradi huu una ukubwa wa eneo la hekari zaidi ya 70.Hadi kukamilisha mradi huo ynahitajika majjengo 22.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa