Manispaa ya Songea imepokea fedha shilingi Milion 893,000,000 Mradi wa BOOST kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya Elimu Msingi na awali kwa madarasa 14, matundu ya vyoo 15 na ujenzi wa Shule mpya moja 1 Kipera.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa