Sunday 22nd, December 2024
@Majengo
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea anawatangazia wananchi wote kuwa Aprili 28,2018 ni Jumamosi ya mwisho wa mwezi.Wakuu wa Idara ya Vitengo katika Manispaa ya Songea mnakumbushwa kushiriki usafi wa mazingira kikamilifu katika eneo la usafi.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa