Mkurugenzi Manispaa ya Songea Wakili. Bashiri Muhoja amefanya ziara na kuongea na Wananchi wa kata ya Mshangano iliyofanyika leo tarehe 26 Juni 2024 kwa lengo la kupokea na kusikiliza kero za wananchi katika kata husika.
Ziara hiyo ni mwendelezo wa ziara ya kuhakikisha kata 21 zinatembelewa na kusikiliza kero zao ambapo hadi sasa ni kata 12 ambazo tayari zimeshatembelewa.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa