Mkuu Wa mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema asilimia 90 ya tembo katika pori la akiba la Seluos wameuawa katika kipindi cha miaka 40 iliyopita hali iliyosababisha mnyama huyo kuwa katika hatari ya kutoweka.
Mndeme ametoa takwimu hizo wakati anazungumza katika maadhimisho ya siku ya tembo duniani ambayo kimkoa yamefanyika kwenye ukumbi wa Manispaa ya songea .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa