MKURUGENZI WA MANISPAA YA SONGEA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE WA MANISPAA YA SONGEA KUWA,MKUTANO WA BARAZA LA MADIWANI WA MANISPAA HIYO,UNATARAJIA KUFANYIKA FEBRUARI 21 MWAKA HUU KATIKA UKUMBI WA MANISPAA YA SONGEA KUANZIA SAA TATU ASUBUHI.
WANANCHI WOTE MNAALIKWA KUHUDHURIA MKUTANO HUO WA BARAZA AMBAO NI WA WAZI KWA MUJIBU WA KANUNI ZA HALMASHAURI.
WANANCHI MNAOMBWA KUHUDHURIA MKUTANO HUO BILA KUKOSA KWA MAENDELEO YA MANISPAA YETU YA SONGEA.
TANGAZO LIMETOLEWA NA MKURUGENZI MANISPAA YA SONGEA
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa