Halmashauri ya Manispaa ya Songea imepitisha rasimu ya mapendekezo ya bajeti kwa mwaka wa fedha 20232024 leo tarehe 02 Februari katika ukumbi Manispaa ya Songea na kuhudhuriwa viongozi vyama vya wafanyakazi, na taalamu.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa