HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imebahatika kuwa na shule ya watoto wadogo yenye hadhi ya kimataifa ambayo inamilikiwa na Shirika la Saint Teresa Orphan Foundation (STOF) iliyopo Mjimwema mjini Songea.Mkurugenzi wa STOF Teresa Nyirenda amesema Shirika lake ambalo linafanyakazi katika nchi mbili za Tanzania na Marekani ,ameamua kuanzisha shule hiyo ili kuwafanya watoto wa Tanzania wanaosoma katika shule hiyo kusoma mazingira yanayofanana na Marekani.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa