MBUNGE wa Jimbo la Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Injinia Stella Manyanya akipanda miti katika kijiji Luhangarasi wilayani Nyasa mkoani Ruvuma ambako kumefanyika sherehe za miaka 42 ya kuzaliwa chama Tawala CCM.Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Ruvuma Oddo Mwisho.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa