Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt Damas Ndumbaro (MB) leo tarehe 11 Julai 2024 ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa ziara yake ambayo anaifanya katika kata 21 kwa lengo la kupokea kero mbalimbali ambapo za wananchi ambapo ameweza kutembelea kata ya Lilambo, Mwengemshindo na Ruhuwiko pia katika ziara hiyo ametembelea shule ya watoto wenye mahitaji maalumu na kugawa chakula na vifaa vya michezo pamoja na kutoa msaada wa matibabu kwa mwananchi aliyepata ajali ya pikipiki.
Picha mbalimbali za matukio Mhe. Waziri wa Utamaduni, Sanaa na michezo akigawa vifaa vya michezo na mahitaji mbalimbali kwa watoto wenye mahitaji maalmu.
IMeandaliwa na;
Amina Pilly
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa