DKT. Damas Ndumbaro (MB) Waziri wa Utamaduni, Sanaa na michezo amegawa viti kwa Shule za Sekondari 4, pamoja mashine za kutotolesha vifaranga vya kuku kwa vikundi 8 kwa lengo la kuwezesha wajasiliamali wadogo wadogo na kuinua kipato cha mtu mmoja mmoja.
Akizungumza kwenye ofisi ya CCM Wilaya ya Songea Mjini wakati akikabidhi mashine pamoja na viti alisema fedha za Jimbo zimewekwa kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali za jamii ili kuleta maendeleo katika jimbo husika.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWSILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa