• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Songea Municipal Council
Songea Municipal Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Manispaa ya Songea

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto
      • Planning,Statistics and Monitoring
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Elimu ya Msingi
      • Mazingira na Usafi
      • Maji
      • Afya
      • Elimu ya Sekondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Arthi na Mipangomiji
    • Vitengo
      • Uchaguzi
      • Legal Services
      • Mawasiliano, Habari na Teknolojia
      • Ukaguzi wa ndani
      • Ugavi na Manunuzi
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma zetu
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu za Halmashauri
      • Fedha na Uongozi
      • Mipango Miji na Mazingira
      • Uchumi, Afya na Elimu
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi isiyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Taratibu
    • Ripoti
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
    • Habari
    • Matukio

FAHAMU sheria zinazosimamia shughuli za biashara Manispaa ya Songea

Tarehe ya kuwekwa: June 23rd, 2018

SHERIA zinazosimamia shughuli za biashara 

Katika kuhakikisha shughuli za Biashara na Viwanda zinaendeshwa kwa kufuata taratibu na sheria, Serikali imeweka sheria mbalimbali kwa ajili ya kusimamia uendeshaji ya shughuli za biashara. Sheria hizo ni kama ifuatavyo:

  1. Sheria ya Leseni za Biashara Na. 25 ya Mwaka 1972 ambayo imekuwa ikifanyiwa marekebisho ya mara kwa mara na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.(marekebisho yamefanyika mwaka 1980, 2004, 2013) ili kuendana na wakati.
  2. Leseni ya vileo Na. 28 ya Mwaka 1968 sheria hii inasimamia vileo vya Viwandani  na vileo vya asili(Vilabu vya Pombe za Kienyeji)  sheria hii ipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu. Haijawahi kufanyiwa marekebisho toka kutungwa kwake.
  3. Sheria ya Ushuru wa nyumba za kulala wageni(Guest house Levy ya Mwaka 1972)  na marekebisho yake ya mwaka 2015
  4. Sheria ya  usafirishaji abiria kwa  kutumia pikipiki za magurudumu mawili na  matatu zinazojulikana kama “the transport licensing (motor cycle and tricycles) regulation, 2010”.
  5. Pamoja na Sheria mbalimbali za Mamlaka za Uthibiti(regulatory Authority) kama EWURA, SUMATRA, CRB, TFDA n.k

3.0 SHUGHULI ZINAZOTEKELEZWA NA KITENGO CHA BIASHARA

Katika kila Halmashauri kuna Kitengo cha Biashara ambacho kinasimamia shughuli za biashara. Kitengo cha Biashara  kinafanya shughuli zifuatazo:-

  1. Kupokea na kupitisha fomu za maombi ya leseni za Biashara, Leseni za Vileo na usajili wa  usafirishaji abiria kwa pikipiki za magurudumu mawili na matatu.
  1. Kutoa leseni za Biashara, leseni za Vileo na stika za usajili wa  usafirishaji abiria kwa pikipiki za magurudumu mawili na matatu kwa mujibu wa sheria zake.
  2. Ku – issue Leseni za biashara,  kwenye Mfumo wa Kieletronik wa ukusanyaji Mapato.
  1. Kukusanya na kusimamia mapato ya Ada za Leseni za Biashara, leseni za Vileo, usajili wa pikipiki za magurudumu mawili na matatu na ushuru wa nyumba za kulala wageni
  1. kufanya ukaguzi wa leseni za biashara na  kutoa elimu ya Biashara ikiwa ni pamoja na sheria Na. 25 ya Mwaka 1972 na maelekezo mbalimbali yanayohusu shughuli za biashara
  1. Kutoa ushauri wa Kitaalam na mafunzo kwa wafanyabiashara na wajasiriamali wanaondesha shughuli mbalimbali za Viwanda na Biashara. 
  2. Kutafsiri na Kusambaza nyaraka, sera na sheria mbalimbali zinazuhusu shughuli za Viwanda. biashara,  na uwekezaji kwa wafanyabiashara.
  1. Kumshauri kitaalam Mkurugenzi wa Manispaa   Masuala mbalimbali yanayohusu shughuli za  Biashara, Viwanda na uwekezaji  katika Halmashauri ya  Manispaa
  2. ----Itaendelea--

 

Matangazo

  • TANGAZO LA LESENI ZA BIASHARA January 22, 2025
  • TANGAZO la usafi wa mazingira Jumamosi ya mwisho wa mwezi Septemba 2024 February 27, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma Yafanikiwa Kurejesha Mil. 9.2, na Kudhibiti Mianya ya Rushwa.

    May 30, 2025
  • TAKUKURU Ruvuma Yawezesha kupatikana fedha za makusanyo Songea Dc

    May 30, 2025
  • ALAT Ruvuma na Baraza la Madiwani la Chalinze Watembelea Manispaa ya Iringa Kujifunza Ukusanyaji wa Mapato.

    May 29, 2025
  • ISMAIL ALI MKIMBIZA MWENGE KITAIFA ARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    May 15, 2025
  • Tazama zote

Video

ALAT RUVUMA ZIARANI IRINGA TC
Video Zaidi

Viungio vya Haraka

  • Ruvuma Region Website
  • Songea diistrict websites
  • Madaba District Council Website
  • Tunduru District Website
  • Namtumbo District Website
  • Nyasa District Website
  • Mbinga Town Council Website
  • Mbinga District Council Website
  • Songea Municipal face book

Tovuti Mashuhuri

  • Wizara ya Fedha
  • TAMISEMI
  • Wakala wa Serikali Mtandao
  • Utumishi
  • National Bureau of Statistics
  • Baraza la Mitihani Tanzania

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

free HitCounter

Ramani ya Mahali

Wasiliana nasi

    SONGEA MUNICIPAL COUNCIL

    Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA

    Simu ya Mezani: 025 2602970

    Simu ya Kiganjani:

    Barua Pepe: info@songeamc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya Falagha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani ya Mahali
    • Huduma

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa