MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kuanza sasa Wizara ya Ardhi na Makazi imeamua shughuli zote za ramani kuanza kufanyika mjini Songea mkoani Ruvuma badala ya kufanyika mkoani Mtwara ambako awali shughuli zote zilikuwa zinafanyika katika kiwango cha kanda.
Amesema kuanza sasa Kamishina wa Ardhi wa Kanda atakuwa hapa mkoani Ruvuma na kwamba sasa itarahisisha mwananchi wa Mkoa wa Ruvuma kupata Hati za viwanja ndani ya Mkoa wa Ruvuma badala ya kujingia gharama kusafiri hadi mkoani Mtwara hali ambayo ilikuwa inaleta kero na usumbufu mkubwa kwa wananchi.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa