HIFADHI ya Taifa ya mazingira asilia ya Mwambesi iliyopo Tunduru mkoani Ruvuma,imekuwa kivutio kipya cha utalii katika Mkoa wa Ruvuma,kutoana na na hifadhi hiyo kuwa na viumbe adimu duniani wakiwemo wanyama,ndege na mimea.Katika hifadhi hiyo kuna wanyama kama tembo,simba,kura,na jamii ya swala,pia katika hifadhi hiyo kuna ndege adimu waliohamia kutoka nchini Madagaska wanaoitwa Patiole na jamii ya mimea mbalimbali ikiwemo miti .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa