Hii ni bustani ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma iliyogharimu zaidi ya shilingi milioni 399.Bustani hii imejengwa mkabala ya jengo la NSSF.Bustani inamwekezaji ambaye anaendesha bustani hiyo na kulipa mapato katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa