MSIMAMIZI wa Uchaguzi wa serikali za Mitaa katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea Lewisi Myambwa anatoa rai kwa wakazi wote wa Mji wa Songea kujitokeza kujiandikisha kuanzia Oktoba 8 mwaka huu na kwamba zoezi la kujiandikisha litaendelea hadi Oktoba 14.Amezoezi hilo litafanyika kwa siku saba na kwamba hakutakuwa na muda wa nyongeza.
Uchaguzi wa serijali za mitaa unatarajia kufanyika nchini kote Novemba 24,2019.Jitokeze kujiandikisha ili kutumia vema haki yako ya kidemokrasia.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa