MSIMAMIZI wa Uchaguzi katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea Lewis Mnyambwa anatoa rai kwa wakazi wa Manispaa ya Songea kutumia vizuri siku saba za kujiandikisha ili kupiga kura katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini ambao unatarajia kufanyika Novemba 24,2019.Uandikishaji unaanza Oktoba 8 hadi 14,2019 katika mitaa yote ya Manispaa ya Songea.Tumia haki yako .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa