Kamati ya fedha na uongozi Manispaa ya Songea ikiongozwa na Mstahiki Meya leo tarehe 27 Machi 2025 wamefanya ziara ya kutembelea na kufanya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika kata ya Ruhuwiko na kata ya Msamala kwa lengo la kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya Halmashauri hiyo.
MWISHO;
AMINA PILLY
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa