KAMATI ya Siasa ya CCM katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imefanya ziara ya siku mbili kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo katika Halmashauri ya Manispaa hiyo.Miradi iliyotembelewa ni uwanja wa ndege wa Songea,maghala ya NMC,kiwanda cha 21 century cha Mohamed Enterpriese,mradi wa ukarabati wa mabweni Songea Girls,ujenzi wa barabara za lami nzito Manispaa ya Songea,mradi wa barabara ya mchepuko ya Songea,mradi wa stendi mpya ya kisasa ya mabasi ya Songea,mradi a maji wa Ruhila kati Kata ya Mwengemshindo na bustani ya Manispaa ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa