SERIKALI imepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki ambapo kuanzia Juni Mosi 2019 mtu yeyote hauruhusu kufanya matumizi ya aina yeyote ya mifuko hiyo kutokana na madhara makubwa ya kimazingira ambayo yanasababisha na mifuko hiyo.Kuanzia Juni Mosi mifuko mbadala inaanza kutumika rasmi hapa nchini na kwamba ukitumia mifuko ya plastiki ni kosa la jinai ukipelekwa mahakamani unaweza kulipa faini,kifungo au adhabu zote mbili.Tafadhali tutii sheria bila shuruti.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa