KATIBU Tawala wa Mkoa wa Ruvuma Profesa Riziki Shemdoe amefungua Mafunzo ya kuibua na kubadilishana simulizi za Mabadiliko katika ukumbi wa kanisa katoliki jimbo la Mbinga.Hata hivyo hotuba yake imesomwa kwa niaba yake na Katibu Tawala Msaidizi Edimund Siame.Mafunzo hayo ya siku mbili yanawashirikisha maafisa Elimu,maafisa Habari na wenyeviti wa waratibu Elimu kata toka Halmashauri zote nane za mkoa wa Ruvuma .Mafunzo yamehudhuriwa pia na wanahabari.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa