CHANZO cha mto Ruvuma kinapatikana katika milima ya Matogoro Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.Chanzo hicho kinatengeneza mto maarufu wa Ruvuma ambao unamwaga maji yake Bahari ya Hindi.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa