PICHA MBALIMBALI ZA KIKAO CHA KAZI CHA BARAZA LA MADIWANI.
Leo tarehe 29 Mei 2024 kimefanyika kikao cha kazi cha baraza la madiwani kinachojadili shughuli na changamoto zinazoikabili kata husika ambapo kikao hicho hufanyika kuelekea siku moja kabla ya Mkutano wa baraza la madiwani ambalo litafanyika 30 Mei 2024.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa