Maandalizi ya Kikao Kazi cha 15 cha Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano Serikalini yanaendelea. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama watembelea ukumbi wa BoT Mwanza ambapo Mhe. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua mkutano huo.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa