KIKAO KAZI cha Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma ambacho kinashirikisha waheshimiwa madiwani,maafisa watendaji wa Kata na watalaam kinafanyika leo kwenye ukumbi wa Manispaa ya Songea .Kikao hicho kinaoongozwa na Mwenyekiti ambaye ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Songea Alhaj Abdul Hassan Mshaweji.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa