Kikao kazi cha waheshimiwa Madiwani pamoja na Wakuu wa Idara na Vitengo na Maafisa watendaji wa Kata 21, kimefanyika leo tarehe 16 Novemba 2023 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea kwa lengo la kupokea taarifa za utekelezaji wa kila robo ya mwaka kutoka kwenye kata husika.
Akizungumza Naibu Meya Manispaa ya Songea Jeremiah Mlembe ambapo amewataka wataalamu kufanya kazi kwa weledi ili kutoa huduma bora kwa jamii.
IMEANDALIWA NA;
AMINA PILLY;
KITENGO CHA MAWASILIANO SERIKALINI.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa