Mkuu wa mkoa wa Ruvuma Dk.Binilith Mahenge amefanya ziara ya kukagua shamba jipya ma miti katika milima ya Livingstone kwenye kijiji cha Mpepo kilichopo wilaya ya Nyasa.
Katika kijiji cha Mpepo jumla ya hekta 180 zimetengwa kwa ajili ya kupanda miti ambapo hadi sasa kiasi cha hekta 120 zipo tayari kwa ajili ya kupanda miti kibiashara.Hata hivyo Mkuu wa Mkoa kwa mara nyingine anasisitiza wananchi wote kuwajibika kuzima moto na kwamba wananchi na viongozi wote ni lazima washiriki kuzima moto kwa kuwa moto unasababisha hasara kubwa kiafya,kimazingira na kiuchumi.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa