KAMATI ya Siasa cha CCM katika Hamashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imetembelea mradi wa kiwanda cha 21 century cha Songea kinachimilikiwa na Mohamed Interprises ambacho kina uwezo wa kusaga unga tani 100 kwa siku.Kiwanda hicho ambacho ni kipya kilichoanza kazi hivi karibuni kimeajiri wafanyakazi 30 ambapo kinatarajia kuajiri wafanyakazi 60.Kuanzishwa kwa kiwanda hiki kumefungua fursa ya soko la mahindi ambayo yanalimwa kwa wingi katika Mkoa wa Ruvuma.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa