Maadhimisho ya wiki ya mazingira duniani kika nwaka huadhimishwa kuanzia Mei 30 na kilele chake ni Juni 5.Katika Mkoa wa Ruvuma kimkoa maadhimisho hayo yanatarajiwa kufanyika katika Mtaa wa Mjimwema B kata ya Mjimwema manispaa ya Songea ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme. Mtaa huo wa Mjimwema pia ndiyo eneo ambalo limechaguliwa kufanyika mkesha wa Mwenge wa Uhuru siku ya Juni 7 mwaka ambayo ni siku maalum ya Mwenge wa Uhuru kukimbizwa katikaManispaa ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa