USHUHUDA wa binadamu duniani kote kuwa ni mharibifu namba moja wa Mazingira huu hapa
Asilimia 50 ya mimea imetoweka kutokana na shughuli za kibinadamu
Asilimia 83 ya wanyama wa nchikavu wameuawa
Asilimia 80 ya wanyama wa baharini wameuawa
Asilimia 86 ya bahari imechafuliwa
Asilimia 15 ya samaki imepotea
Binadamu katika maisha yake yote amefanikiwa kulinda na kuhifadhi Mazingira kwa asilimia 0.01 tu.Hata hivyo binadamu ndiyo mnufaika namba moja kutokana na Mazingira ukilinganisha na viumbehai wengine.Kuna Mahusiano makubwa kati binadamu,Mazingira na Maendeleo.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa