Picha mbalimbali za matukio ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani ambayo yamefanyika leo tarehe 01 Desemba katika uwanja wa Majimaji Mkoani Ruvuma ambayo mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdory Mpango.
Aidha katika maadhimisho hayo yametolewa magari 96 na pikipiki 300 katika Halmashauri Nchini kwa ajili ya kuboresha utoaji wa huduma za chanjo katika jamii.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa