Mwenge wa Uhuru Kitaifa, mwaka 2019 umezindua mradi wa madarasa matatu katika shule ya sekondari Matarawe Manispaa ya Songea mkoanii Ruvuma wenye thamani ya shilingi 31,891,000.00
Shule ya Sekondari Matarawe ni miongoni mwa shule za Sekondari zilizopo ndani ya Manispaa ya Songea zinazomilikiwa na Halmashauri. Shule ina jumla ya wanafunzi 636 wakiwepo wakike 335 na wakiume 301
, lengo la mradi huu ni kupunguza msongamano wa wanafunzi na kuboresha mazingira ya kusomea wanafunzi.ni matarajio yetu kwamba mradi huu wa madarasa utakuwa umepunguza tatizo la msongamano wa wanafunzi na kuboresha mazingira .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa