Manispaa ya songea inaendelea na utoaji wa mafunzo ya matumizi ya Mfumo wa manunuzi Nest kwa wakuu wa idara na Vitengo kwa lengo la kuboresha utendaji wa kazi.
Mafunzo hayo yameanza kufanyika kuanzia tarehe 06 Agost 2023 hadi tarehe 08 Agost 2023 katika ukumbi wa Manispaa ya Songea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa