HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma katika robo ya mwaka wa 2018/2019 unatarajia kukopesha zaidi ya shilingi milioni 59 kwa vikundi vya wanawake,vijana na makundi maalum.Hayo yamesemwa na Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Songea Naftari Saiyoloi katika taarifa ya utoaji mikopo kwenye ukumbi wa Manispaa hiyo ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Songea Pololet Mgema aliyewakilishwa na Katibu Tawala wa wilaya ya Songea Pendo Ndumbaro.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa