HALMASHAURI ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma katika kipindi cha mwaka 2017/2018 imepokea jumla ya Tshs. 1,229,897,595.94 kupitia Mpango wa Elimu bila malipo kwa ajili ya shule za msingi.
Kwa kipindi cha Januari hadi machi 2019 Halmashauri imepokea jumla ya Tshs.424,324,914.99.kwa mgawanyo ufuatao;Capitation ni Tshs.189,578,545,.19, Chakula ni Tshs.71,146,369.80,Walimuwakuu(fedhazamadaraka)niTshs.121,600,000.00,Waratibu wa Elimu kata (Fedha za madaraka) ni Tshs.42,324,000.00
kwa kipindi cha mwaka 2017/2018 Halmashauri imepokea jumla ya Tshs. 1,229,897,595.94 kupitia Mpango wa Elimu bila malipo kwa ajili ya shule za msingi.
Kwa kipindi cha Januari hadi machi 2019 Halmashauri imepokea jumla ya Tshs.424,324,914.99.kwa mgawanyo ufuatao;Capitation ni Tshs.189,578,545,.19, Chakula ni Tshs.71,146,369.80,Walimuwakuu(fedhazamadaraka)niTshs.121,600,000.00,Waratibu wa Elimu kata (Fedha za madaraka) ni Tshs.42,324,000.00
Upatikanaji wa fedha hizi umeboresha miundombinu ya madarasa, vyoo, samani, upatikanaji wa vifaa vya kujifunzia na kufundishia mashuleni na hivyo kufanya kazi ya ufundishaji kuwa rahisi kwa Walimu sawa na asilimia 100 ya utekelezaji wa fedha zilizopokelewa za Elimu Bila malipo.
Manispaa ya Songea kwa mwaka wa fedha 2017/2018 imepokea fedha ya miradi wa Lipa kulingana na matokeo (P4R) jumla ya Tshs.608, 362,148.42,fedha hizi ziligawanywa kama ifuatavyo,kiasi cha Tshs.445662148.42 kilipelekwa idara ya Elimu msingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa na uboreshaji wa mazingira ya kusomea na kufundishia na kiasi cha Tshs.162,700,000.00 kiligawiwa Idara ya Elimu Sekondari kwaajili ya ukamilishaji wa vyumba 14 vya maabara katika shule 8 za sekondari na kazi hii imekamilika kwa asilimia.
Imeandikwa na Albano Midelo
Afisa Habari Manispaa ya Songea
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa