MKUU wa Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma amegawa vitambulisho 923 vya matibabu kwa wazee.Vitambulisho vimetengenezwa na Halmashauri ya Manispaa ya Songea lengo ni kuhakikisha wazee wa Manispaa hiyo wanapata matibabu.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa