IDADI ya vivutio vya utalii katika Mkoa wa Ruvuma vimeendelea kujibuliwa baada ya kubainika aina mpya ya kivutio cha utalii kilichopo kwenye maporomoko ya Mto Ruvuma eneo la Tulila ambako pia kuna mradi wa uzalishaji wa umeme wa maji kwa kutumia nguvu ya maji ya mto Ruvuma ambacho kinamilikiwa na watawa wa Shirika la masista wa Benediktini wa Chipole Jimbo Kuu Katoliki la Sonhgea.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa