JIMBO la Songea mjini limeingia katika giza nene baada ya nyota yenye mwangaza kuzima ghafla wakati ndo kwanza safari ya kuijenga Manispaa ya Songea inaendelea.
Mbunge wa Songea mjini Leonidas Gama hayupo tena duniani,wengi hatuamini lakini ukweli unabaki kuwa amefariki usiku wa kuamkia leo katika Hospitali ya Rufaa ya misheni ya Mtakatifu Joseph Peramiho takribani kilometa 24 toka Songea mjini.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa