SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amewaongoza maelfu ya wakazi wa Manispaa ya Songea kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Songea mjini Leonidas Gama.Mazishi hayo yamefanyika Novemba 27 katika makaburi ya Mtaa wa Likuyufusi Kata ya Lilambo Manispaa ya Songea.Mazishi hayo yaliwashirikisha waheshimiwa wabunge ,madiwani,viongozi wa chama na serikali kutoka ndani na nje ya mkoa wa Ruvuma .
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa