SHULE ya Msingi Changarawe iliyopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma imepokea shilingi milioni 19 kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa vilivyopo katika shule hiyo.Serikali imetoa zaidi ya milioni 540 katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea ili kukamilisha ujenzi wa vyumba vya madarasa na maabara katika shule za sekondari.Manispaa ya Songea ina shule za msingi 86 na shule za sekondari 40.
SONGEA MUNICIPAL COUNCIL
Anuani ya Posta: P O BOX 14, SONGEA
Simu ya Mezani: 025 2602970
Simu ya Kiganjani:
Barua Pepe: info@songeamc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Haki zote zimehifadhiwa